IMPORTANT ANNOUNCEMENT FOR PROPERTY OWNERS

IMPORTANT ANNOUNCEMENT FOR PROPERTY OWNERS

๐Ÿ“ฐ Published: August 03, 2026

Posted By staystz

Tunapenda kuwatangazia wamiliki wote wa majengo na magari (Hotels, Lodges, Villas, Guest House, Campesite, Apartments, BnB, Homes, Office Spaces, Special Hire Buses, na magari yoote makubwa kwa madogo kuwa, katika kuelekea msimu wa AFCON 2027 tunajiandaa kikamilifu kuhakikisha tunaliteka soko za mtandao.

Tupo kwenye usajili saivi tunahitaji walau kila mkoa tufikishe nyumba 50 Alafu tuanze kurusha Matangazo kwenye vyombo vyote vya habari, mitandao ya kijamii na mabango. Sasa Hii ni fursa kwako nyumba yako itaonekana kirahisi Kulikoni baadae nyumba zikisha kuwa nyingi kwenye mfumo..

Jisajili leo bure upate nafasi ya kuonekana bure kabsa. vitu muhimu unavyopaswa kuwa navyo ili uweze kusajiri mali yako kwenye mfumo wetu.

1. Uwe na umri usiopungua miaka 18
2. Kitambulisho kimojawapo kati ya hivi NIDA, PASSPORT ya Kusafiria au Leseni ya Udereva.
3. Uwe na picha halisi za mali husika zenye ubora wa HD zisizopungua 20 sinzo onyesha mali nje na ndani.
4. sheria na kanuni mbalimbali juu ya atumizi sahii ya mali zako. Sisi kama Staystz.com tuna sheria zetu lakini hata wewe mmiliki wa mali husika unatakiwa kuweka utaratibu wako. mfano
> Terms and conditions
> โ House policy
> โ Cancellation policy
> โ Refunds policy.

Jisajili kwenye mfumo wetu bure kabsa Leo. click
www.staystz.com

Wasiliana nasi Kwa Kwa maelezo zaidi
Piga simu no +๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿฒ๐Ÿณ๐Ÿฒ ๐Ÿฑ๐Ÿญ๐Ÿฏ ๐Ÿต๐Ÿฌ๐Ÿฐ
Whatsapp +๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿฒ๐Ÿณ๐Ÿฒ ๐Ÿฑ๐Ÿญ๐Ÿฏ ๐Ÿต๐Ÿฌ๐Ÿฐ
Email : info@staystz.com

Ndiyo maana Tunasema
๐—ฆtays Tanzania.
(๐‘พ๐’†โ€™๐’“๐’† ๐‘ฏ๐’†๐’“๐’† ๐’‡๐’๐’“ ๐’€๐’๐’–)